Waziri Mkuu, Raila Odinga |
Makamu wa Rais, Kalonzo Musyoka. |
Waziri
Mkuu wa Kenya, Raila Odinga na Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kalonzo Musyoka,
wameunda muungano wa kisiasa kuelekea mshike mshike wa uchaguzi mkuu unaotajia
kufanyika mwakani, nchini humo. Imeelezwa kuwa wawili hao wameamua kuunganisha
nguvu ili kujiandaa kutoa upinzani kwa chama Tawala na vyama vingine vya siasa
vinavyshiriki katika uchaguzi huo.
Post a Comment