Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SHUKURANI KWA WADAU WA NDGSHILATU BLOG


UONGOZI WA NDGSHILATU BLOG unatoa shukurani za dhati kwa Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika mwisho wa mwaka wa 2012, ukiwa ndio mwaka wetu wa kwanza kama blog hapa nchini, tunapenda kutoa shukurani kwa wote walioshirikiana nasi katika kuhakikisha tunasimama na kufika hapa tulipo, ahsanteni sana.

 
Shukrani za kipekee ziende kwa Familia yangu (Baba, Mama, Dada na Wadogo zangu), Uongozi wa gazeti la Tazama Tanzania pamoja na Mahabuba wangu kipenzi ambaye nipo naye kwa nyakati zote za kimaisha.
Shukurani zikufikie Kambi Mbwana, Josephat Lukaza, Audiface Jackson, Krantez,,Hussein Rashid, Gudiola Emmanuel, Fadhil Athuman, Dietrich Sumayi, Chester ,Makampuni yote na wadau wote mnaoitembelea NDGSHILATU BLOG.  Kwaheri Mwaka 2012 Karibu Mwaka 2013!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top