Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira ambae pia ni Rais
wa Baraza la Mawaziri wa Mazingira Afrika, Dk Terezya Huvisa, akijadili jambo na
Mwenyekiti wa Dunia wa Kamati ya Taaluma na Sayansi ya Mabadiliko ya Tabia nchi,
Richard Muyungimuda mfupi kabla ya Waziri Dk. Huvisa kuwasilisha taarifa ya Tanzania kwa Rais wa COP
katika Mkutano wa 18 wa dunia wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjni Doha
(Picha na Evelyn Mkokoi).
Loading...
Home » Unlabelled » TANZANIA YAWASILISHA TAARIFA YAKE YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KATIKA MKUTANO WA COP 18 MJINI DOHA
Post a Comment