Maaskari wakiongoza
msafara wa wanachuo ambao walikuwa wanaelekea kwa mkuu wa mkoa
Maaskari wakiwa kwenye
ulinzi wakati wa maanadamano ya wanachuo waliokuwa wanaelekekea kwa mkuu wa mkoa
Dodoma
Wanachuo wakiwa
wameshika mabango ya kushinikiza ulinzi katika chuo cha St.
John
Wanachuo wa chuo kikuu
wakiwa kwenye maandamano
Wanachuo wakiwa kwenye
maandamano kuelekea kwa mkuu wa mkoa hii ni kushinikiza ulinzi kwa sababu ya
matukio ambayo yanaendelea kutokea maana juzi alifariki mwanachuo na usiku wa
kuamkia leo wanachuo walivamiwa kwenye chumbani baada ya kukata nindo ya dirisha
na kuiba Laptop tatu na simu tano na baada ya kuchukua vitu hivyo waliacha
wamewafanyia vitendo vibaya na pia waliachwa wamefungwa ili wasipige
kelele.
Kwa hali hii
imesababisha maandamano ili kushinikiza ulinzi katika chuo cha St. John
kilichopo Dodoma mjini.
Post a Comment