Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu.
Kitendo walichokifanya Chadema cha kumzungumzia Nappe na ukoo wake ni dalili tosha ya usaliti mkubwa kwa Umma waliozungukwa na matatizo lukuki yanayohitahi kujadiliwa na kuyapatia ufumbuzi wa kina. Huu ni utoto tu wanaoufanya Chadema
Post a Comment