Mbunge Abwao akiwa na waziri mkuu Mizengo Pinda
Pamoja
na kuruhusiwa katika Hospitali ya mkoa wa Iringa ambako mbunge wa
viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo
(Chadema) Chiku Abwao alikokuwa akitibiwa bado hali yake kiafya ni
mbaya .
Mtandao
huu wa www.francisgodwin.blogspot.com umeelezwa kuwa mbunge Abwao kwa
sasa amehamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
Salaam kwa matibabu zaidi baada ya afya yake kuendelea kuteteleka .
Jitihada
za kumtafuta mbunge Abwao zinaendelea ili kujua afya yake zaidi
kutokana na tatizo hilo la uvimbe katika mguu wake ambalo linamsumbua .
Post a Comment