Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na wanachama wa UVCCM wa vyuo vikuu mkoani Tabora
waliomtembelea Ikulu ndogo mkoani humo usiku wa kuamkia leo. Pamoja na mambo
mengine Rais Kikwete aliwataka vijana hao kuzingatia masomo kwa nguvu zao zote,
akisisitiza kwamba elimu ni ufunguo wa maisha hivyo wasome kwa bidii ili nchi
ipate wasomi waliobobea katika kila nyanja katika kusukuma mbele gurudumu la
maendeleo
Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Mhe, Fatma Abubakar Mwassa (mwenye kitenge, kati) na Mkuu wa Wilaya ya Tabora
mjini Mhe Suleiman Kumchaya (kulia) wakipozi na viongozi wa wanafunzi wa UVCCM
vyuoni
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM wa vyuoni Tabora
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM wa vyuoni Tabora
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiagana na makada hao wa UVCCCM
Post a Comment