Mnyama Ngakakuona ambaye ana aminika kwa
utabiri akirandaranda kwenye hospital ya mkoa wa Morogoro leo
asubuhi
Askali Magereza akimuwekea vitu mbali mbali
mnyama huyo kwa lengo la kutabiri.
Mnyama huyo akianza kutabiri
Baada ya kuwekewa vitu hivyo mnyama huyo
alikwenda kulamba Jembe kama anavyoonekana Pichani
Baada ya kulamba Jembea pia alikweda kwenye
beseni la maji na kuanza kuyanywa
LEO asubuhi mnyama anayeaminika kwa
utabiri Ngakakuona ameibuka ndani ya hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro
ambapo baada ya kuwekea vitu mbali mbali alichagua maji na Jembe.Wachunguzi wa mambo walisikika wakisema kwamba
utabiri wa mnyama huyo ambaye alichagua Maji na Jembe unaashiriki kwamba mwaka
huu kutakuwa na mvua nyingi zitakazo ambatana na mafuriko,pia wachunguzi hao
walidai kwamba kwa mnyama huyo kuchagua Jembe ni ishara kwamba mwaka huu
wakulima watavuna mazao mengi.Mnyama huyu amechagua majia kwa kuyanywa na
baadae kuyakoroga misiri ya mafuliko hivyo ametabiri mwaka huu mvua zitakuwa
nyingi sambamba na mafuliko pia alichagua Jembe akitabiri kwamba mwaka huu
utakuwa sio mwaka wa njaa wakulima watalima na kuvuma kwa wingi"alisema mzee
mmoj aliyejitambushwa kwa jina la Jonas Mkude.
Askali Magereza akimuwekea vitu mbali mbali mnyama huyo kwa lengo la kutabiri.
Mnyama huyo akianza kutabiri
Baada ya kuwekewa vitu hivyo mnyama huyo alikwenda kulamba Jembe kama anavyoonekana Pichani
Baada ya kulamba Jembea pia alikweda kwenye beseni la maji na kuanza kuyanywa
LEO asubuhi mnyama anayeaminika kwa utabiri Ngakakuona ameibuka ndani ya hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro ambapo baada ya kuwekea vitu mbali mbali alichagua maji na Jembe.Wachunguzi wa mambo walisikika wakisema kwamba utabiri wa mnyama huyo ambaye alichagua Maji na Jembe unaashiriki kwamba mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi zitakazo ambatana na mafuriko,pia wachunguzi hao walidai kwamba kwa mnyama huyo kuchagua Jembe ni ishara kwamba mwaka huu wakulima watavuna mazao mengi.Mnyama huyu amechagua majia kwa kuyanywa na baadae kuyakoroga misiri ya mafuliko hivyo ametabiri mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sambamba na mafuliko pia alichagua Jembe akitabiri kwamba mwaka huu utakuwa sio mwaka wa njaa wakulima watalima na kuvuma kwa wingi"alisema mzee mmoj aliyejitambushwa kwa jina la Jonas Mkude.
Post a Comment