BAADA ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa
msanii Dully Sykes , anayefahamika kamaArafat Ngumi Jiwe, za kumlawiti mtoto,
sasa msanii huyo ameamua kuwambia mashabiki wake kuwa amesitishwa na ishu hiyo
kwani alikuwa hajui kama jamaa ana tabia hiyo chafu hivyo anawasihi watanzania
wote kujua kwamba hajui lolote juu ya hilo na kwa sasa hawezi kuendelea kufanya
naye kazi ili kujitoa kwenye ishu hiyo chafu.
Tuhuma za baunsa huyo
kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa msanii huyo kwani watu
wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa anatafuta mtu mwingine ambaye
anaweza kuchukua nafasi hiyo.
on Sunday, January 13, 2013
Post a Comment