Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KINANA ATINGA KAKONKO MKOANI KIGOMA NA KUPOKELEWA NA DIWANI WA CHADEMA

 

Kinana akipata maelezo kwa Dc Kakonko, Peter Toima wakati akikagua mradi wa ujenzi nyumba za zahanati ya Kata ya Kasanda wilayani humo. Kulia ni diwani wa Kata hiyo Dickson Barutwa.
Diwani wa kata ya Kasanda, Kakonko mkoani Kigoma, Dickson Barutwa (CHADEMA), akimpa malezo Kinana kuhusu ujenzi wa nyumba za zahanati ya kata hiyo unaofanywa na serikali
Kaimu Mganga Mkuu wa Kibondo, Dk. Laurean Kanaganwa(kulia) akitoa maelezo ya zahanati ya kata ya Kasanda. Wapili kulia ni diwani wa Kasanda-Chadema, Dickson Barutwa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mabalozi wa mashina na wazee katika Kata ya Kasanda, Kakonko mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama mpya, Elizabeth Gwimo, alipopokwa wanachama wapya 45, katika mkutano uliofanyika Kata ya Kasanda, Kakonko Kigoma
Wanachama wapya wakila kiapo, baada ya kukabidhiwa kadi zao na Kinana (kushoto), katika kata ya Kasanda, Kakonko Kigoma.
Mjumbe wa Shina, Agnes Lukwavi akitoa maoni yake ya kuboresha C CM, wakati Kinana alipozungumza na mabalozi na wazee wa Kata ya Kasanda, wilayani Kakonko, Kigoma
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top