Mgeni rasmi , Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Eng. Dkt. Richard Masika wakiwa wameshikia mfano wa Hundi wa sh. Mil 10 kwa ajili ya wanafunzi 10 bora. Fedha hizi ni Ahadi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda, wakati wa mahafali ya Tatu mwaka 2012 kwa wanafunzi bora wa chuo hicho.
Wanafunzi Bora wa Kike kwa kila idara walizawadiwa Kompyuta aina yalaptops kutoka ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Italia wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mh. Philip Mulugo baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Mgeni
Rasmi, Mh. Philipo Mulugo akihutubia wahitimu na wageni waalikwa wakati
wa mahafali ya Chuo cha Ufundi Arusha yaliyofanyika jana kwenye viwanja
vya shule hiyo mkoani Arusha




Post a Comment