Sergio
Aguero ameachana na mkewe na Giannina, ambaye ni mtoto wa Diego Maradona, baada
ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka minne.
Giannina sasa anaaminika kwamba
anaishi jijini Madrid na mtoto wao mwenye miaka mitatu Benjamin baada ya
kuthibitisha kuachana kwake na Aguero kwenye mtandao wa Twitter.
Alisema
'tumeachana' kabla ya baadae kuongeza 'mwaka mgumu' na 'kumekuwepo na mabadiliko
mengi'.
Kwenye Twitter, shabiki mmoja alimwambia Giannina: ‘Aguero
hastahili kuwa nawe na mjinga' lakini akamjibu shabiki huyo 'Usiseme hivyo, ni
baba wa mtoto wangu na hayupo kama ambavyo umesema.'
Sergio Aguero msimu
amekuwa hayupo katika kiwango kizuri akiwa amefunga mabao nane tu na ligi ikiwa
ipo katika awamu ya pili.
Giannina sasa anaaminika kwamba anaishi jijini Madrid na mtoto wao mwenye miaka mitatu Benjamin baada ya kuthibitisha kuachana kwake na Aguero kwenye mtandao wa Twitter.
Alisema 'tumeachana' kabla ya baadae kuongeza 'mwaka mgumu' na 'kumekuwepo na mabadiliko mengi'.
Kwenye Twitter, shabiki mmoja alimwambia Giannina: ‘Aguero hastahili kuwa nawe na mjinga' lakini akamjibu shabiki huyo 'Usiseme hivyo, ni baba wa mtoto wangu na hayupo kama ambavyo umesema.'
Sergio Aguero msimu amekuwa hayupo katika kiwango kizuri akiwa amefunga mabao nane tu na ligi ikiwa ipo katika awamu ya pili.



Post a Comment