Shabiki nambari moko.... |
Wataalamu mbalimbali kutoka ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela nao walialikwa kwenye kusanyiko hili kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa utekelezaji pindi maswali yapapo tokea. |
Kwa utulivu kivulini wananchi wa kata ya Kitangili wakisikiliza mkutano. |
Post a Comment