Pichani ni Mike Sonko, Mbunge mashughuri kutoka nchini
Kenya ambaye anasifika kwa mbwembwe na mavazi yake ambayo huwavutia wengi kiasi
cha kumshangilia kila anapooneka kwa jamii, mbunge huyo ambaye huingia bungeni
akiwa amevalia mavazi ambayo ni tofauti na ilivyozoeleka kwa wabunge nchi
hiyo.
Mbunge Mike Sonko aliwahi kutimuliwa bungeni kwatuhuma za kuvaa herini, na kushangaza baadhi ya wabunge wenzake huko nchini Kenya.
Mavazi ya ki-brather Man yafauti ya Ki-Brother
Man aliokua akivaa Mbunge huyo wa Kenya kwa kusifika kwa nyodo na miondoko ya
mbwembwe
Huyu ndio yule mbunge sharobaro wa Kenya, umaarufu wake umeongezeka kutokana na
usharobaro wake ambao unamfanya mpaka avae hereni na kudunda mtaani kama kawa.
Nakumbuka 2012 moja kati ya stori nilizoziona kwenye TV za Kenya ni wakati alipoamriwa kutoka nje ya jengo la bunge baada ya kuingia akiwa amepiga suti fresh lakini masikioni anazo hereni.
Ukimkuta kwenye mitaa huwa anatupia pamba sio kitoto, na ni rafiki wa wasanii pia nakumbuka hata Z ANTO wakati yuko juu kipindi kile na single ya binti kiziwi, huyu Sonko alimpatia gari la kifahari kutembelea Kenya akiwa na mlinzi pembeni.
Post a Comment