Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinbduzi CCM,
Abdulrahamn Kinana akizungumza na wana CCM wa Mkoa w Morogoro waliofika katika
stesheni ya Tazara Mjini Morogoro kuwalaki wakati wa safari yao ya kuelekea
mjini Kigoma katika madhimisho ya miaka 36 ya CCM ambayo kitaifa yanafanyika mjini
Kigoma Februari 3, 2013
credits: Father Kidevu
Katibu
wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro
akiwasalimia Wakazi wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa
wakielekea mkoani Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka
36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka
leo jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha
Mapinduzi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza Wakazi
wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani
Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha
Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar
kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Ndg Abdulrahman Kinana akiwa sambamba na Katibu wa NEC itikaji na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia Wakazi
wa wa mji wa Morogoro Stesheni usiku huu,walipokuwa wakielekea mkoani
Kigoma kwa njia ya treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha
Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka leo jijini Dar
kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi.
credits: Bashiri Nkoromo
Post a Comment