Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTU WA WATU, RAISI KIKWETE AITEKA IGUNGA LEO


Mamia ya wananchi wa Igunga Wakilipuka kwa furaha katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga ambapo Rais Jakaya Kikwete aliung'uruma leo hii

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutumia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Mbutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.PICHA NA IKULU


Rais Jakaay Mrisho Kikwete akisalimiana na  mamia ya wananchi wa Igunga Mara baada ya kumaliza   mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.Picha na IKULU
 

mbutu 8f45a
Mwigullu Nchemba Naibu Katibu Mkuu CCM bara akionyesha maujuzi ya kucheza ngoma ya Sungu Sungu wakati wa ziara ya Rais kikwete ya ufunguzi wa Ujenzi wa daraja la Mbutu.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top