Baada ya kugundua
wananchi wamemshtukia baada ya kumhoji maswali na kushindwa kujibu aliamua
kutimua mbio kukwepa kamera ya Francis Godwin isimpate picha yake, kama
unavyomuona hapo mdau mguu gafla umetokea kimiujiza pamoja na mkono, yote hiyo
alikuwa ameificha kwa kutumia koti lake na Suruali alizovaa.
Loading...
Post a Comment