Mwenyekiti wa Umoja wa
Makanisa ya Kipentekoste Mkoani Mtwara, Askofu, Chilumba akiomba kabla ya
kuanza kwa kikao kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na viongozi wa madhehebu ya
dini ya Kikristo mkoani Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukmbi wa VETA
mjini Mtwara Januari 18, 2013. Jana Mheshimiwa Pinda alikutana na Viongozi wa
dini ya Kiislam mkoani humo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na viongozi wa madhehebu ya Kikristo kuhusu mgogoro wa gesi kwenye
ukumbi wa VETA mjini Mtwara, Januari 28, 2012.Jana Mheshimiwa Pinda alikutana
viongozi wa dini ya Kiislam. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Baadhi ya viongozi wa
madhehebu ya dini ya Kikristo Mkoani Mtwara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu mgogoro gesi kwenye ukumbi wa VETA Mjini
Mtwara, Januari 28, 2013. Jana Mheshimiwa Pinda alikutana na Viongozi wa dini
ya Kiislam.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment