Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PINDA ATOA MAONI YA KATIBA MPYA

 

PINDAZ b30d7Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya fomu maalum zinazotumika kutolea maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya kwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda (wa pili kushoto) wakati alipotembelea vitengo mbalimbali vilivyopo katika ofisi za Tume hiyo leo (jumatano januari 23, 2013) Jijini Dar es Salaam.
PINDA a623a
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akizungumza katika mkutano leo na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika katika ofisi za Tume hiyo leo( jumatano januari 23, 2013) na kutoa maoni na uzoefu wake katikauandishi wa Katiba Mpya. Kushoto ni Mwenyekiti wake Jaji Joseph Warioba na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top