Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Jakaya Kikwete Afanya Mazungumzo na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu Jijini Dar es Salaam,Nakumsindikiza Muda Mfupi Baada ya Mazungumzo



 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kabla ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni Januari 30. 2013.Picha na IKULU
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni picha juu Rais Jakaya Kikwete akitoka ikulu na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top