Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SAJUKI ALIKUWA NA VIPAJI VINGI SANA NA VYA KUSTAAJABISHA


Piga pale...! Sajuki (kulia) akiwa katika maandalizi ya filamu yake mojawapo kali wakati wa enzi za uhai wake.

KIFO CHA MSANII SAJUKI NI PIGO KUBWA SANA KWA TAIFA KUTOKANA NA UKWELI KUWA MUNGU ALIMJAALIA VIPAJI VINGI SANA SAJUKI.

SAJUKI ALIKUWA NI MWIGIZAJI, MTAYARISHAJI FILAMU NA MOUNGOZAJI WA FILAMU AMBAYE ALICHANGIA KUANZISHWA KWA FORUM YA WAONGOZA FILAMU HAPA NCHINI.

KAMA HAITOSHI SAJUKI HUYU HUYU ALIKUWA NI MWIMBAJI MZURI SANA. MSIKILIZE HAPA AKIIMBA WIMBO WA GUNDI LA HUBA AKISHIRIKIANA NA MKEWE WASTARA


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top