Dk Hassan
Mshinda Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknologia COSTECH akitoa mada
kwa Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusiana na Kazi na
Wajibu wa Tume hiyo huko Makumbusho ya Kasri Forodhani mjini Zanzibar.
Mratibu wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dk M. Sheikh
akiwasilisha mada katika Semina ya Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar kuhusu Kazi na Wajibu wa Tume ya hiyo.
Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Zanzibar Amina
Khamis Shaaban akiuliza swali kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na
Teknologia hayupo pichani katika Semina ya Makatibu Wakuu wa Zanzibar kuhusu
Kazi na Wajibu wa Tume hiyo
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Dk Abdulhamid
Yahya Mzee akifunga Semina ya siku moja ya Makatibu Wakuu wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, kuhusu Kazi na Wajibu wa Tume hiyo kwa Zanzibar iliofanyika
katika ukumbi wa Jengo la People Palace Forodhani. Zanzibar.Picha na Othman Maulid Othman-Zanzibar
Post a Comment