Mwenyekiti
wa ulinza na usalama mkoa wa Morogoro Joel Bendera akizungumza na kamti
hiyo nje ya kituo cha polisi Dumila kabla ya kuzungumza na wananchi wa
wilaya ya kilosa leo mchana
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akizungumza na wananchi wa wilaya ya kilosa eneo la Dumila.
Wananchi wa wilaya ya kilosa ambao wengi wao walikuwa ni wakulima wakimsikiliza mkuu huyo wa mkoa.
Wakulima wa wilya ya kilosa walichoma mataili batabara kuiu ya Dodoma Morogoro kwa lengo la kuushinikiza uongozi wa serikali ya mkoa wa Morogoro kuzungumza nao,.jambo ambalo walifanikiwa. Baadhi ya wakulima hao wakiwa nje ya Zahati ya Dumila kwa lengo la kuwapa pole wanzao sana walijeruhiwa kwenye vulugu hizo. afisa Tabibu wa Zahati ya Dumila Dr Mathew Kayunga ambaye arithibitihsa kupokea majeruhi saba waliojeruhiwa kwenye vulugu hizo na kudai kwamba alipokea marehmu mmoja Bw Mohamed Msigala[60] mabye alidai kwamba bado hawajaufanyioa uchunguzi mwili wa marehemu huyo hivyo hawezi kuthibitisha ni kitu gani kimemuua.ingawa alikili kwamba marehemu huyo alifikishwa kwenye Zahanati hiyo kwa usafiri wa boda boda akiwa tayari ameshakufa huku mwili wake ukiwa na jeraha kidevu na sikio lake la kulia lilikuwa likivuja damu.
Baba mdogo wa marehemu huyo Bw Salum Hussein Mnyika[69] alipohojiwa na mtandao huu alidai kwamba kwa kipindi kirefu mwanaye huyo alikuwa akisumb uliwa na ungonjwa wa moyo mkubwa.
"Mwanangu ni mkazi wa kijiji hicho cha Mwabwegele kinachogomanai wa na wafugani pamoja na wakulima hivyo leo asubuhi alijumuika na wenzake kwenye maandamo hayo ya kufunga barabara na kwamba alitoka kwenye kijiji hicho kwa kutumia usafiri wake wa baiskeli na kwamba aliichacha baiskeli yake nyumbani kwangu na kwenda kujiunga na wenzake saa sita najulishwa kwamba amefariki huenda mstuko ule wa mabomu umestua moyo wake"alisema Bw Mnyika. Askali wakiwa kwenye doria eneo hilo la Dumila
Baadhi ya mabasi yaliokwama eneo hilo leo mchana. NA DUSTAN

Post a Comment