Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA YA MAHAFALI YA 44 YA SHULE YA MZUMBE MKOANI MOROGORO

 


Mkurugenzi mtandaji wa kampuni ya global publishers Erick Shigongo[kushoto] akimkabidhi kitabu diwani wa kata ya Mzumbe Telesphor Jaka ambaye pia ni Afisa Utumishi wa Chuo Kikuu Mzumbe[MU] Jana kwenye ukumbi wa shule ya sekondari Mzumbe mkoani Morogoro.ambapo shigongo alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafarii ya 44 ya kidato cha sita ya shule hiyo.
Mmoja wa wahitimu hao Abdul'ladhim Ridhiwani Mohamed akimshukuru Shigongo kwa niaba ya wenzake 125 waliohitimu jana
Shigongo akionyesha moja ya vitabu hivyo ambavyo aligawa ka madenti hao pamoja wa walimu
Baadhi ya wahitmi hao wakiwa na vitabu hiyvo
Baadhi ya Wanafunzi hao wakisoma vitabu hivyo baada ya kukabidhiwa
Shigongo akimsikiliza kwa makini risala kutoka kwa wanafunzi hao
Meza kuku kutoka kushoto Diwani wa kata ya Mzumbe Mh Jaka,Shigongo,mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo ya Mumbe sekondari Bw Diwani Mlutu na mkuu washule hiyo Dismas Njawa wakimsikiliza kwa huzuni kubwa kaka mkuu wa shule hiyo Mfaume Mussa ambaye kwenye risala yao walidai kwamba wanafunzi wa shule hiyo wameanzisha mfuko kupunguza makali kwa wanafunzi hali mbaya kiuchumi,
Kakak mkuu wa shule hiyo Mfaume Mussa akinadi moja wa biasha zinazofanywa na mfuko huo walioupa jina la 'Charity Begins at home] Shigongo ambaye alionyesha kuguso na hatua ya madenti hao kuanzisha mfuko huo wenye l;engo la kulipiana dai kwa wale wanafunzi wenye hali ngumu kiuchumi,alinunu resso hiyo kwa shilingi milioni moja sambamba na kuwapa shilingi milioni tano wanafunzi hao,

Mbali na hayo shigongo pia akiwa ndani ya ukumbi huo aliwasiliana na mbunge wa jimbo hilo la Mvomero Amos Makalla ambaye naye baada ya kusikia taarifa hizo alichangia mfuko huo shilingi milion moja.Shigongo pia aliwashawuishi wazazi waliokuwemo ukumbini hapo ambapo naon walitoa kiasi cha fedha hivyo hadi shughuri hiyom inakamilika jumla ya shilingi milioni 7,218,900 zilipatika kwa debe lililopigwa na Shigongo,awali mfuko ho ulikuwa na jumla ya shiringi laki 4
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top