Habari za leo wapenzi wasomaji
wangu, ni matumaini yangu mpo wazima na wenye afya tele. Leo nataka niongee na
wanandoa, yes wewe mume haswaa! Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la
ndoa na mkeo, unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni ni wa kubadilika
kila siku! Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye"
Hatabiriki" Mzee mwenzangu usiwe ume kariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!! Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika, ikibidi siku moja " Unapiga Sarakasi" kimtindo kitandani kunegesha ladha ya Mchezo!!!
Enjoy Ur 9t


Post a Comment