 |
| Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokea zawadi kutoka kwa kiongozi wa
ujumbe wa wanafunzi kutoka Chuo Cha Ulinzi Cha Taifa Brigedia General R S
Laswai, uliofikia ofisini kwake Migombani kwa ajili ya kuonana
nae. |
 |
| Kiongozi wa Ujumbe wa wanafunzi wa Chuo Cha
Ulinzi Cha Taifa Brigedia General R S Laswai (aliyesimama) akiutambulisha ujumbe
huo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad walipofika
ofisini kwake Migombani kwa ajili ya kuonana
nae. |
 |
| Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya
pamoja na ujumbe wa wanafunzi wa
Chuo Cha Ulinzi Cha Taifa uliofikia ofisini kwake Migombani kwa ajili ya
kuonana nae. Picha na Salmin Said, OMKR |
on Tuesday, January 8, 2013
Post a Comment