Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI),
Bw. Jumanne Sagini (aliyesimama) akiwasilisha maoni ya wafanyakazi wa Ofisi hiyo
kuhusu Katiba Mpya kwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano
baina yao uliofanyika katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam jana (jumanne
januari 15, 2013)
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw.
Solanus Nyimbi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (kulia)
wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo jana (jumanne januari 15,
2013).
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi.
Nenelwa Mwihambi (kulia) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (Kaunda
suti nyeupe) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo jana (jumanne januari 15,
2013).
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba,
Bi. Hanifa Masaninga (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu mfumo uandaaji wa maoni
ya wananchi katika taarifa rasmi (Hansard) kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya
Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu
Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (wa pili kushoto) wakati waliotembelea ofisi za
Tume hiyo jana (jumanne januari 15, 2013).Picha Zote na Tume ya
Katiba
on Wednesday, January 16, 2013
Post a Comment