Mwalimu wa Tanzania House of
Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha
kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Ishengoma Mwombeki
ambaye ni mlemavu wa macho, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa
ajili ya kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la
muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na
Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu
Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya
Muziki (Music Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT
jijini Dar Jana.
Mwalimu wa Tanzania House of
Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha
kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) kwa mwanadada Neema
Aggrey, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya
kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki
pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania
House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan
Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki
(Music Instruments).
Mwalimu wa Tanzania House of
Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha
kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) kwa mwanadada
Gracesandra Isaac, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili
ya kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la
muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na
Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu
Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya
Muziki (Music Instruments).
Mwalimu wa Tanzania House of
Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha
kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Guan Fabian, masomo
hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana
juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal)
lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT)
jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa
akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments).
Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.
Mwalimu wa Tanzania House of
Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha
kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Hawa Lipapapa, masomo
hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana
juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal)
lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT)
jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa
akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments).
Mwalimu wa Tanzania House of
Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha
kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Ramadhani Rashid,
masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo
vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti
(vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent
(THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye
alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music
Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.
Wanafunzi wa darasa la muziki
pamoja na Sauti (vocal) wakiwa na walimu wao mara baada ya kupata vyetu
vya vya kuhitimu masomo yao.
Wanafunzi wa darasa la muziki pamoja na Sauti (vocal) wakiwa katika picha ya pamoja
Post a Comment