Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Benki ya Standard Chartered Tanzania,Bibi Liz Lioyd ambaye alimtembelea
ofisini kwake magogoni leo.
Waziri Mkuu,Mh.
Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki
ya Standard Chartered Tanzania,Bibi Liz Lioyd (pili kulia)pamoja na maofisa
wengine wa Benki hiyo ambao walifika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni
kwajili ya mazungumzo ya kikazi.Picha na Chris Mfinanga.
Post a Comment