Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara
akimsikiliza Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bibi Vibeke Jensen
alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kuzungumzia maeneo ya kushirikiana na Wizara katika Sekta ya Utamaduni
na Habari.

Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akiongea
jambo na ujumbe kutoka UNESCO uliomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar
es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia maeneo ya kushirikiana na Wizara
katika Sekta ya Utamaduni na Habari. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika hilo
nchini, Bibi Vibeke Jensen na kushoto ni Katibu Mtendaji Tume ya Taifa
kutoka katika Shirika hilo, Prof. Elizabeth Kiondo.
Post a Comment