Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue akiongea na Dkt Idris Jala wa kitengo cha usimamizi na
utekelezaji kiitwacho PEMANDU (Performance Management and Delivery Unit) cha
Malaysia na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Februari 21,
2013. Katikati ni Dkt Philip Mpango, Katibu
Mtendaji wa Tume ya Mipango.PICHA NA
IKULU
Loading...
Post a Comment