Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga katikati wa tatu
kutoka kulia, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
kushoto na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch & Wizard
Creative (PYT) Ltd wakisaini mkataba wa makubaliano ya kuanzisha onesha
la Utalii litakalojulikana kwa jina la Swahili Tourism Fair kwenye
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, ambalo kwa mara ya kwanza
litafanyika nchini Tanzania kwenye ukumbi huohuo wa Mlimani City Dar es
salaam kuanzia Oktoba 2-5 mwaka huu, Wanaoshuhudia tendo hilo la
kusainiwa kwa mkataba huo nyuma ni Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa
Afrika Kusini nchini Tanzania na kulia ni Ian Kaduma Mwanasheria wa
Bodi ya Utalii Tanzania TTB Kampuni ya Witch & Wizard Creative (PYT)
Ltd Pia ndiyo inayoandaa maonyesho makubwa ya utalii nchini Afrika
Kusini yanayojulikana kama Indaba Guido
Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch & Wizard Creative
(PYT) Ltd akisaini mkataba huo huku Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa
Afrika Kusini nchini Tanzania akishuhudia tukio hilo kushoto ni Ian
Kaduma Mwanasheria wa TTB
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga na Zaida Enver
Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd
wakibadilishana mikataba mara baada ya kusainiwa katikati wanaoshuhudia
ni Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania
na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi
Charles Sanga na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard
Creative (PYT) Ltd wakionyesha mikataba mara baada ya kusainiwa katikati
wanaoshuhudia ni Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini
nchini Tanzania na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce
Nzuki
Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB DK Aloyce Nzuki akijadili jambo na wakuu
wake wa vitengo katikati ni Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii
na kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Bi. Devotha Mdachi
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga
akizungumza na Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk.
Aloyce Nzuki kabla ya kusainiwa kwa mkataba huo leo katikati ni Meneja
Huduma za Utalii Philip Chitaunga na Mkurugenzi wa Masoko Devotha Mdachi
Zaida
Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd na
Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard
Creative (PYT) Ltd wakiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kwa
kusaini makubaliano hayo wanaosalimiana na Ian Kaduma Mwanasheria wa TTB
na Philip Chitaunga Meneja Huduma za Utalii TTB
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga
akisalimiana na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya
Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd mara baada ya kuwasili ukumbini
hapo leo kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Dk.
Aloyce Nzuki na maafisa wa TTB
Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya
Utalii Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki akiwatambulisha wakurugenzi wa ya
kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd kwa Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga kulia
ni Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard
Creative (PYT) Ltd na kushoto ni Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa
Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd
Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Bi Devotha Mdachi katikati akiwa katika picha ya pamoja na maafisa mbalimbali wa Bodi hiyo
Mh
Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania
akiongozwa na Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii Bodi ya Utalii
TTB mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo
Mh
Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania
akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko TTB Bi Devotha Mdachi kulia ni
Geofrey Meena Meneja wa Masoko wa Bodi hiyo.
Mh.
Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania
akisalimiana na Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena
mara baada ya kuwasili ukumbini hapo leo.
Mh
Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania
akisalimiana na Mwanasheria wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Ian Kaduma
Mh
Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi
Charles Sanga katikati ni Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania
TTB Dk. Aloyce Nzuki
Kutoka
kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi
Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini
nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard
Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya
Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakisubiri kusainiwa kwa mkataba
huo
Maafisa mbalimbali wa Bodi ya Utalii, na Ubalozi wa Afrika Kusini wakishuhudia utiaji saini wa mkataba huo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga akizungumza katika hafla hiyo
Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania naye akatoa maneno yake ya hekima kwa kusainiwa mkataba huo.
Kutoka
kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi
Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini
nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard
Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya
Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwa katika picha ya pamoja
Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki akizungumza katika hafla
hiyo ya utiaji saini mkataba wa kuanzishwa kwa onesho la Swahili Tourism
Fair
Kutoka
kushoto Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Dk. Aloyce Nzuki
,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi
Charles Sanga, Mh. Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini
nchini Tanzania , Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch& Wizard
Creative (PYT) Ltd na Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya
Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na
maafisa wa bodi ya utalii
Post a Comment