Ndugu Amani
Mwaipaja
Chama cha Demokrasia na
maendele chadema mkoa wa morogoro kimemfukuza uanachama aliyekuwa mgombea Ubunge
wa jimbo la morogoro mjini na mwanasheria wa chama hicho mkoa wa
morogoro Amani Mwaipaja wakimtuhuni kutumika kukivuruga chama hicho
wakati huu wa vuguvugu la Kuimarisha vyama vya siasa kuelekea uchaguzi wa
viongozi wa serikaliza mitaa na vijiji mwaka 2014 na uchaguzi mkuu wa Rais
Wabunge na Madiwani mwaka 2015.
Katika sekeseke hilo pia
chadema wamewafukuza pia wanachama wengine kumi na nne wakituhumiwa kutumika
kukizoofisha chama hicho mkoa wa morogoro. na kuwapa onyo kali wanachama wengine
watano
on Sunday, February 10, 2013
Post a Comment