Spika wa Bunge laTanzania, Anne Makinda akisakata
muziki wa dansi na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu katika Viwanja vya
Bunge mjini Dodoma, mwishoni mwa wiki.
Kufuatia
mtikisiko uliolipata bunge hususani kipindi cha bunge hili la mwezi huu kutokana
na kusimamishwa kwa mijadala ya hoja bungeni na kusitisha ile hoja ya Mbunge wa
chadema J,J Mnyika.
katika mkutano
wa hhadhara uliolenga kuwapokea wabunge wa upinzani wakitokea dodoma
bungeni,Naibu katibu mkuu na Mh Tundu lissu wamezungumza na wanachama na wapenzi
wa chadema kuhusu namna ya kuhakikisha Spika wa Bunge anawajibika katika
hili.
Chadema
wamependekeza njia mbili za kutumika kumng'oa spika wa bunge Mh.Anne Makinda
nazo ni.
1.Kwanza ni
kuhakikisha wabunge tunapeleka hoja ya kumng'oa Anne makinda kwenye kiti chake
cha Spika.Zitto akasema ameshawasiliana na mnyika hoja hiyo ipo
tayari.
2.Ni kumfanya
Anne makinda (spika wa Bunge) hana namna zaidi ya kung'oka.Mh Zitto kabwe
akihutubia wanachama wa chadema akapendekeza njia ya kutumia Umma kumhukumu Anne
makinda.Wananchi wakaomba namba ya simu ya Anne makinda na Job Ndugai ili
waweze kuwatumia ujumbe mfupi wa maandishi kwamba "KWANINI UNALICHEZEA
BUNGE,TUNAOMBA UNG'OKE"
Namba za simu
zilitolewa kwa wananchi zoezi lililosimamiwa na Mbunge wa Arusha mjini
Mh:Godbless Lema.
Namba ya Anne
makinda iliyosomwa ni hii.
voda:0754465226
Tio:0713 " "
"
namba ya Job
Ndugai Ni
Voda:0762
605951
tigo:0655 " "
"
Mh lema
akawataka wananchi kuisambaza namba hiyo kwa ndugu na jamaa ili wafikishe ujumbe
kwa spika wa bunge.
Je, Chadema watawajibika endapo itathibitika namba walizozitaja si Maspika hao?
Post a Comment