Waziri Mwekyembe leo
amekamata ufisadi bandarini unaofikia jumla ya USD $ 10,000,000 (Dola za
Kimarekani Millioni 10) au Shillingi za Tanzania Billioni 16, kutokana na
Kontena moja lililokuwa na Madini yakitokea Rwanda, inasidikiwa wahusika ni
Vigogo wengi wa Serikali.
on Tuesday, February 12, 2013
Post a Comment