Mtaalam wa masauala ya
kufilisi mali na vitendea kazi vilivyotokana na uhalifu kutoka Afrika ya Kusini
Bi. Hermione Cronje akitoa mada kwa maafisa wa idara mbalimbali za Serikali
walioshiriki semina hiyo jijini
Mkurugenzi wa Mashtaka
Dkt. Eliezer M. Feleshi (katikati waliokaa) kwenye picha ya pamoja na Maafisa wa
wizara na idara za serikali(waliosimama) waliohudhria semina ya mafunzo ya
kufilisi mali zilizotokana na uhalifu
Mkurugenzi Msaidizi
idara ya Uratibu wa Kesi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Ayubu Mwenda (wa
kwanza kulia) akimsikiliza Bw. Jack Titsworh kutoka STAR Initiative wakati wa
mafunzo ya kufilisi mali zilizotokana na uhalifu
na mjengwa
blog
Post a Comment