Hii ndiyo orodha ya Makadinali walio katika uwezekano wa juu kabisa wa kuwa Papa baada ya Papa Benedict XVI kutangaza nia yake ya kujiuzulu kwa madau ya kuwa na umri mkubwa.
|
Cardinal Angelo Scola, Miaka 70, kutoka Italy |
|
Cardinal Marc Ouellet, Miaka 67, kutoka Canada |
|
Cardinal Leonardo Sandri, Miaka 68, kutoka Argentina |
Katika orodha pia kuna;
|
Cardinal Péter Erdő, Miaka 59, kutoka Hungary |
|
Cardinal Odilo Pedro Scherer, Miaka 62, Kutoka Brazil |
|
Cardinal Angelo Bagnasco, Miaka 69, kutoka Italy |
Hawa wanapewa nafasi ya mbaaaali...
|
Archbishop Luis Antonio Tagle, Miaka 54, kutoka Philippines |
|
Cardinal Gianfranco Ravasi, Miaka 69, kutoka Italy |
|
Cardinal Peter Turkson, Miaka 63, kutoka Ghana |
|
Cardinal Timothy Dolan, Miaka 62, kutoka United States |
|
Common |
************************************************************
Pia rapa Common kutoka Marekani, amekwishatoa maoni yake kuhusiana na issue hii ambapo ameweka wazi kuwa angependelea kuonelea safari hii Papa anayechaguliwa akiwa na asili ya Afrika (ama mtu mweusi), nafasi ambayo inamwangushia kura zote Cardinal Peter Turkson kutoka Ghana:
on Tuesday, February 12, 2013
Post a Comment