Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akibonyesha kitufe kuashiaria kuzindua rasmi mfumo wa usajili na
utambuzi wa watu na utoaji wa vitambulisho vya taifa uliofnyika katika viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Watatu kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani
ya nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA Bwana Mwaimu na
kulia nia Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwan Said Meck Sadik.
Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
kitambukisho cha Taifa katika hafla ilkiyofanyika katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi akimkabidhi mke wa Rais Mama Salma Kikwete
kitambulisho chake cha Taifa katika viwanja vya Karimjee leo huku Rais Kikwete
akishuhudia.Kushot o Mkurugenzi Mkuu wa NIDA Bwana Mwaimu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi
kitambulisho chake cha taifa katika viwanja vya
Karimjee.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa kitambulkisho cha taifa katika viwanja vya Karimjee leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume kitambulisho chake cha taifa katika viwanja vya Karimjee leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kitambilisho cha Taifa katika viwanja vya Karimjee leo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa mfumo wa usajili na utambuzi wa watu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Elihad kitambulkisho cha taifa.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mwenyekiti wa CUF Professa Ibrahim Lipumba kitambukisho cha taifa.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa kitambulkisho cha taifa katika viwanja vya Karimjee leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume kitambulisho chake cha taifa katika viwanja vya Karimjee leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kitambilisho cha Taifa katika viwanja vya Karimjee leo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa mfumo wa usajili na utambuzi wa watu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Elihad kitambulkisho cha taifa.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mwenyekiti wa CUF Professa Ibrahim Lipumba kitambukisho cha taifa.Rais Jakaya kikwete amewataka wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) kuwa waadilifu wakati wa zoezi la kuandaa mfumo waTaifa wa usajili,utambuzi na utoaji wa Vitambulisho vya utaifa.

Post a Comment