Meja wa jeshi la wanamaji
la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza mmoja wa askari
wa jeshi la wanamaji Tanzania wakati alipokuwa akimuliza swali kuhusiana na
matumizi ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kufanya ulinzi wa kupambana na
uharamia katika bahari ya hindi wakati walipotembelea katika Meli ya kivita
aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga
katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina
ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013
na imeondoka jana februari 20 2013.
Afisa Mwandamizi wa jeshi
la wanamaji kutoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha wanajeshi wa jeshi la
maji la Tanzania moja ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana na
uharamia unaofanywa na magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa
tanzania walipotembela katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania
na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari20
2013.
Wanajeshi wa jeshi la
wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki huku Luteni wa jeshi la Wanamaji
kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff akiwapa maelezo juu ya silaha hizo
ambazo zinatumika katika kupambana na uharamia baharini wakati walipotembelea
katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la
kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli
hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.
Wanajeshi wa jeshi la
wanamaji kutoka Urusi wakinyanyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa
elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya
kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia
nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki
baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16.
2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
Luteni Kanali wa jeshi la
Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (kushoto)akiwaelezea wanajeshi
wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzania jinsi moja ya vifaa vya kivita wanavyotumia
katika ulinzi wa kupambana na waharamia wakati wanapofanya doria baharini.
wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania
na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.
Luteni wa jeshi la
Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (watatu kutoka
kulia)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji nchini jinsi nchini yao
inavyofanya ulinzi wa kupambana na waharamia kwa kutumia helikopta wakati
walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la
MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania
na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.
Mkuu wa msafara wa meli ya
kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, Admiral
Eremin (katikati) akitoa elimu kwa wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la Tanzania
juu ya kupambana na maharamia katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi hao
walipotembelea katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la
MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania
na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral
Vdovenko na kushoto ni Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir
Mavlihanoff.Picha zote na Mroki
Mroki
Post a Comment