POLISI Mkoa
wa Kipolisi Kinondoni, linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za ujambazi
walioufanya katika nyumba ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,
January Makamba Februari 3 mwaka huu. Ujambazi huo ulifanywa wakati naibu
waziri huyo akiwa safarini jimboni kwake Bumbuli huku nyumbani hapo ikiwepo
familia yake ambapo mlinzi alifungwa kamba na kuzibwa mdomo na majamazi
hao.
Katika tukio hilo majambazi hao hawakukamilisha azima yao kwa kuwa mke
wa naibu waziri huyo alibonyeza kengele ya tahadhari mapema ambayo ilipiga
kelele zilizowaogopesha majambazi hao ambao walikimbia ili kujiokoa na
kukamatwa. Baada ya tukio hilo,Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela
aliahidi kuwasaka na kuwakamata watu
waliohusika.
POLISI Mkoa
wa Kipolisi Kinondoni, linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za ujambazi
walioufanya katika nyumba ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,
January Makamba Februari 3 mwaka huu. Ujambazi huo ulifanywa wakati naibu
waziri huyo akiwa safarini jimboni kwake Bumbuli huku nyumbani hapo ikiwepo
familia yake ambapo mlinzi alifungwa kamba na kuzibwa mdomo na majamazi
hao.
Katika tukio hilo majambazi hao hawakukamilisha azima yao kwa kuwa mke wa naibu waziri huyo alibonyeza kengele ya tahadhari mapema ambayo ilipiga kelele zilizowaogopesha majambazi hao ambao walikimbia ili kujiokoa na kukamatwa. Baada ya tukio hilo,Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela aliahidi kuwasaka na kuwakamata watu waliohusika.

Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/#ixzz2KVGVFIa2
Post a Comment