Walimu
wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika
tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu-
TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi
wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA
MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti
vyake halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu
ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi
hiyo.
NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13 (1006.83 kB)
Post a Comment