Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO


1-nw wa Fedha Janet Mbene (kushoto) akiongea naMB Khalifa (GAndo)
 
Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene(kushoto) akisalimiana na Mbunge Khalifa Suleiman Khalifa (Gando) katka viwanja vya Bunge leo mjini Dododma.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
2-Job Ndugai (kulia) naJames Mbatia- kumaliza wapinzani kikao chao
 
Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-Magaeuzi) James Mbatia katika viwanja vya Bunge, Feb,2,2013 Dododma. (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
3-mbatia (kushoto na Tundilisu
 
Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR- Mageuzi James Mbatia (kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma baada ya kuambiwa aondoe hoja yake ambako alikataa.(Mwengine), ni Mnadhimu Mkuu wa Upinzani Tundu Lissu (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top