Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MIAKA 36 YA CCM, KAZI ZA UJENZI WA TAIFA ZAENDELEA ZANZIBAR.


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha Abdalla Juma,akizungumza na Wanawake wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha Abdalla Juma (suruali ya kijani) akishirikiana na Wanawake wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM.

Kazi ya kupokezana ndoo ya udongo ikiendelea.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top