MKuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya wa tatu
kulia akibubujikwa na machozi jana usiku baada ya ya Kaimu Kamanda wa
Polisi Mkoa , Peter Ngusa (kulia) akiwa ameushikilia mkono ulionyofolewa
hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa
ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini
Miangalua wilayani Sumbawanga akiuonesha hadharani mbele ya majengo
ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa , watatu kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk
John Gurisha
Mmoja wa askari akifungua
majani ya mgomba yaliyoufunga mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa
mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini
Miangalua wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani mbele ya majengo
ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa jana usiku jana Februari
14.
MKuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya wa tatu
kulia akibubujikwa na machozi jana usiku baada ya ya Kaimu Kamanda wa
Polisi Mkoa , Peter Ngusa (kulia) akiwa ameushikilia mkono ulionyofolewa
hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa
ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga akiuonesha hadharani mbele ya majengo ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa , watatu kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk John Gurisha

Post a Comment