|
Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufunga Mkutano wa sita wa Mafuta wa Mataifa ya
Jumuia ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Arusha kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed
Shein. |
|
Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoka kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Arusha ( AICC ) Baada ya kufunga Mkutano wa Mafuta na Maonyesho wa Afrika
Mashariki kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein. Kushoto ni
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Mh. George Simba Chawene, (Wapili
kulia)Waziri wa Nishari wa Uganda Mh. Irin Muloni na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Afrika ya Mashariki Mheshimiwa Jesca Eriyo. |
on Saturday, February 9, 2013
Post a Comment