Myika akizungumza na wananchi kuusu suala la matatizo ya maji
Leo ilikuwa siku nzuri sana kwa wapenzi na mashabiki wa Goba na vitongoji vyake walipo muona Mbunge wao J.J.Mnyika
akifunguka kwa kuwaeleza ukweli wananchi dhidi ya uongo wa magamba hasa hasa waziri wa maji aliposema maji yatatoka tarehe 20/2/13 lakini mpaka leo hakuna maji Goba.

Post a Comment