Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWALIMU AFA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI ALIYEKUWA LINDO BANK YA NMB TAWI LA MAKETE KISA ELEMENT YA PIKIPIKI

 






Tunaomba Radhi kwa picha za kutisha
Mwalimu mmjoa wa shule ya sekondari kitulo wilayani makete aliyefahamika kwa jina la casto sote kawamba ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi makete

Akizungumza na mtandao huuu ofisini kwake mkuu wa polisi wilaya ya makete SP Peter Kaiza kuhusu tukio hilo lililotokea eneo la benki ya nmb tawi la makete siku ya jana majira ya saa moja na robo asema kuwa mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na asikari momoja aitwae Jose Msukuma na kudai kuwa alikuwa hana eriment alipo amuliwa kusimama alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo

Nae mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya makete bw, Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea

Nae mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye jina lake limehifadhiwa amesema kuwa askari hao walikuwa wakiomba fedha kwa mwalimu huyo na baada ya kukatariwa ndipo walipo anza kumshushia kichapo na alipo wazidi walilazimka kutumi asilaha na kumpiga bega kwa upande wa mbele na ndipo alipo mpa umauti


Kwa upande wao baadhi ya walimu wenzake na marehemu ambao walifika hospitali kujua kuhusina na kifo cha mwalimu mwenzake wamerahani tukio hilo na kusema kuwa nilakikatili na linapaswa kukemea

Aidha mganga mkuu mfawidhi ambaye ni msemaji wa hospitali ya wilaya ya makete bw,Michael gulaka amesema kuwa wao walipokea mwili wa marehemu nasio majeruhi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top