Baadhi ya washiriki wa
semina ya Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu
wakijaza fomu wakati wa semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), na kufanyika kwenye Hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo leo Feb
2, 2013.
Baadhi ya washiriki wa
semina ya Mameneja Rasirimali Watu Kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu
wakipitia vipeperushi vinavyohusiana na semina hiyo.
Meneja Kiongozi Mahusiano,
Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume
(kulia), akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa
Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu
iliyoandaliwa na shirika hilo na kufanyika katika hoteli ya Oceanic Bay mjini
Bagamoyo leo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (katikati),
akifungua semina ya iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu
kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini Bagamoyo leo Jumamosi feb
2, 2013.
Mkurugenzi wa Uendeshaji
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (kushoto)
akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja
Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini Bagamoyo leo
Jumamosi feb 2, 2013.
Meneja Kiongozi Mahusiano,
Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume
akizungumza wakati wa Cocktail Party iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja
Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu inayoendelea mjini
Bagamoyo.
Meneja Kiongozi Mahusiano,
Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume
(kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja
Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini
Bagamoyo.
Baadhi ya washiriki wa
semina hiyo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (kushoto)
akisakata rhumba sambamba na washiriki wa semina hiyo.
Mwimbaji wa Waswahili
Band, Brian James akifanya vitu vyake.
Baadhi ya washiriki wa
semina.
Washiriki 'wakijisevia'
chakula wakati wa semina hiyo.




























Post a Comment