Denti
aliyefumaniwa (nyuma ya wa kwanza kushoto) akipelekwa shuleni na ndugu zake
baada ya kufumaniwa.
Tukio hilo limetokea hivi karibuni ambapo chanzo
makini kimeeleza kuwa mtego wa kunaswa kwa denti huyo anayesoma darasa la sita,
uliandaliwa na dada zake wanaomlea kufuatia wazazi wao kufariki dunia.Baada ya paparazi wetu kujiridhisha na picha za tukio hilo, aliwafuata dada zake pamoja na walimu wa shule hiyo lakini walikataa kutoa ushirikiano.
“Utuhoji ili iweje? Swala hili tumelipeleka pale shule na tutalimaliza shuleni kwani hawa wote ni vijana wetu, hatuhitaji habari hizi zitoke kwenye vyombo vya habari,” alisema kwa ukali dada mmoja wa mwanafunzi huyo ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake.
Alipotafutwa mwalimu mkuu wa shule hiyo na kuulizwa juu ya tukio hilo, alikataa kuzungumzia chochote akidai shule yake haihusiki na tukio hilo kwa kuwa lilitokea nje ya maeneo ya shule.
“Sioni sababu ya kutaja jina langu, mimi ni mwalimu mkuu wa shule hii, fumanizi hilo halituhusu kwa sababu halikutokea kwenye madarasa wala vyoo vya shule yetu,” alisema mwalimu huyo.
Post a Comment