Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Paschal Mabiti (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa
mkoa huo, Dr. Titus Kamani (kulia) wakitoka kwenye ukumbi wa mikutano wa Kanisa
la Kiijili la Kilutheli Tanzania KKKT mjini Bariadi baada ya waziri Mkuu
kuzindua kamati ya ushauri ya mkoa wa Simiyu (RCC) Februari 19, 2012. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Mchungaji Aaron Malyuta wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Bariadi wakati alipozindua Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Simiyu (RCC) kwenye
ukumbi wa KKKT mjini Bariadi Februari 19,2013. Katikati ni mkuu wa mkoa wa
simiyu, Paschal mabiti. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na watoto yatima wa Shule ya Msingi ya Tumaini inayomilikiwa na
Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Mjni Bariadi Februari 19, 2013. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
on Wednesday, February 20, 2013
Post a Comment